Home »
» DUH! SIJUI RIHANA ALIFIKIRIA NINI KUPIGA PICHA HIZI. MAJANGAAAA JIONEE HAPA MAMTONI DUH! SIJUI RIHANA ALIFIKIRIA NINI KUPIGA PICHA HIZI. MAJANGAAAA JIONEE HAPA
Unapozungumzia msanii asiyeisha vituko basi unamzungumzia Rihanna, Jana mtandao wa TMZ na MTV Base uliachia picha za mwanadada Rihanna akiwa karibi asilimia 80 ya mwili wake ukiwa mtupu. Rihanna alipiga picha hizo kwa ajili ya magazine kubwa tu huko marekani